|
Muungano wa usafi wa Mazingira
in English
auf deutsch
på svenska
in italiano
en español
en català
portugues  
på norsk  
på dansk
nihongo
en français
Kiswahili
по-русски
Nederlands
á íslensku
en Esperanto
chinese
magyar
suomeksi
eesti
"Moyo mkumbwa umo dani ya matendo mandogo" Raimo O. Kojo, Mwadishi
na
Mwanachama
Jiunge na muungano wa usafi wa mazingira
Takataka, inapotupwa ovyo, yachafua mazingira na kuhatarisha
maisha ya
wanyama . ( more details here) .Twaweza kuwalaumu watu wachafuao mazingira
lakini yasaidiani? Wanachama wa muungano huu wameamua njia
nyingine.
Tunaokota angalao kitakataka kimoja kila simu na kumwalika angalao
mtu mmoja
kujiandikisha katika muungano.
Mwanachama mmoja ameandikisha watu wafikao mia moja. Mashule,
maskauti na
wafanyakazi wote tumewaalika kujiunga nasi. Kulingana na kati ya
watafiti,
kama takataka sakafuni ni chache divyo uwezekano wa watu kuangusha
takataka
pale ulivyo ndogo.
Waansilishi wa muungano huu ni Tuula-Maria Ahonen, Mwaandishi, anaishi
Helsinki na mabinti wake Iisa( umri wa miaka 9) na Ilona ( umri wa
miaka 12).
Muungano huu ulianzishwa hapo Aprili 2000.
Muungano ulienea nchini kote kwa mda wa siku chache tu. Wanachama
wametoka
makundi balibali, watoto, vijana, watu wazima, wazee na familia.
Wanachama wanawaoba watu wote ulimwenguni kujiunga nao. Kusini
wanachama
wanaishi Honduras na kaskasini mwa ulimwengu wanachama wapatikana
Inari,
Finland..
Kwa nia ya kumbandirishana mawazo, tumetengeneza listi ya barua.
Ukitaka
kujiandikisha, soma maelezo yaliyo mwishoni mwa ukurasa huu.
Mtu mmoja aweza kufanya tendo ndogo tu, lakini pamoja twaweza
kufanya
mazingira yetu masafi kwa binadamu na wanyama kuishi.
"Hakuna aliyefanya kosa kubwa kama yule hakufanya chechote
kwasababu
angefanya tendo ndogo tu" Edmund Burke, Mwanafilosifia.
Kujiandikisha ili uwe ukipata barua zetu, tuma barua tupu kwa
anwani
roskaliike-subscribe@yahoogroups.com
Ama andika amwani yako ya barua za umeme kwenye sehemu uliyopewa
na
kubonyeza Enter.
webmaster
|